Filimbi Yapigwa_ WATAKIWA KUACHA KWENDA WA WAGANGA WA KIENYEJI HUKO MASWA MKOANI SIMIYU

Vijana kutoka wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wakionyesha igizo lililokuwa likielimisha jamii juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko wa afya ya jamii.
Wananchi wa kata ya Nyalikungu wilayani Maswa mkoa wa Simiyu wameaswa kuacha tabia ya kwenda kutibiwa kwa waganga wa kienyeji badala yake waende kwenye vituo
vya afya vilivyopo kwenye maeneo yao, ikiwa ni pamoja na kujiunga na mfuko wa bima ya afya CHF kwa kutoa shilingi 10,000 kwa kaya na kutibiwa bure watu sita mwaka mzima.

ENDELEA KUSOMA HABARI HII HAPA 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527