Mratibu
wa kisukari mkoa wa Shinyanga Ruth Kanoni akitoa elimu kwa wakazi wa Shinyanga kuhusu ugonjwa wa kisukari ambapo amewataka kujiepusha na ulaji wa nyama kupita kiasi kwani ina mafuta yanayoganga mwilini na kumfanya mtu awe hatarini kupata magonjwa ikiwemo kisukari,moyo.Pia amesema ni vyema wananchi wakala vyakula vya nafaka,mizizi na ndizi kwa uangalifu na kula makapi ya nafaka ili kusaidia kutonenepa na kula sana matunda sambambamba na mbogamboga na kuepuka vyakula vya mafuta
Wananchi wakifuatilia kinachoendelea katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga
Mratibu huyo wa kisukari mkoa wa Shinyanga Ruth Kanoni amewaasa wananchi kuepuka kunywa pombe,soda na juisi
na kuvuta sigara

Pichani ni Mary Clement ambaye ni mhudumu wa afya katika hospitali ya mkoa wa Shinyanga akitoa huduma kwa mmoja wananchi wa mkoa wa Shinyanga waliofika katika maadhimisho ya siku ya kisukari leo katika hospitali hiyo
![]() |
| Sababu zilizotajwa kuchangia kuwepo kwa ugonjwa wa kisukari ni tabia za kimaisha ikiwemo kula na kunywa kupita na kutofanya mazoezi |







Social Plugin