TAZAMA PICHA_MAITI YA KIJANA YAOKOTWA KWENYE MFEREJI WA MAJI MACHAFU KARIBU NA KIWANDA CHA KAHAWA HUKO KILIMANJARO


Maiti ya mwanaume huyo ukiwa umelazwa katika gari la Askari, baada ya kutolewa kwenye mfereji huo
Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana
Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa jana asubuhi

 Mwili hu ukipakizwa kwenye Gari 

 
Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi.PICHA NA DIXON BUSAGAGA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post