KAMERA ZETU SAA CHACHE KABLA YA MCHEZO KATI YA YANGA VS STAND UNITED LEO MJINI SHINYANGA
Saturday, October 25, 2014
Saa chache tu zimebaki kuanza kwa mchezo
wa ligi kuu ya Vodacom 2014/2015 kati ya Stand United na Young Africans
utakaochezwa leo jioni Jumamosi katika uwanja wa CCM Kambarage
mjini Shinyanga.Pichani ni Washabiki wa Timu ya Stand United wakiwa wamepanda kwenye Katapila mjini Shinyanga ,likiendeshwa na Mbunge wa Kishapu Suleiman Nchambi-Picha na Samwel Mwanga-Malunde1 blog
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin