YP enzi za uhai wake alitamba na nyimbo kama 'Ulipenda Pesa', 'Pumzika', 'Shemsha' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume Family kama 'Twende zetu' ya Chege, 'Dar mpaka Moro', 'Kichwa kinauma', 'Tufurahi' na nyimbo nyingi za TMK Wanaume family pia alivuma na wimbo wa Binadamu Visa alioimba na swahiba wake, Y-Dash.
Kiongozi wa kundi la Yamoto Band na TMK, Mkubwa na Wanawe, Saidi Fela akizungumza wakati wa msiba huo.
Msanii wa Bongo Fleva, Juma Nature akizungumza jambo kwa niaba ya wasanii wenzake waliofanya kazi na marehemu enzi za uhai wake.
Mh Temba nae akizungumza...
Mmoja wa waigizaji aliyehudhuria mazishi hayo, Jacob Steven 'JB' akizungumza.
Ilikuwa ni vilio kutoka kwa kila mtu aliyehudhuria mazishi hayo
Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanj vya TCC, Chang'ombe, Dar.

PICHA KWA HISANI YA WADAU MBALIMBALI WA MALUNDE1 BLOG,WALIOKUWA ENEO LA TUKIO LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Malunde1 blog,inawapa pole ndugu,jamaa na marafiki wote waliofikwa na msiba huu.Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu YP.Amina!!
Malunde1 blog,inawapa pole ndugu,jamaa na marafiki wote waliofikwa na msiba huu.Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu YP.Amina!!







Social Plugin