TANGAZO_JIPYA NA KUBWA ZAIDI KUTOKA MALUNDE1 BLOG

Baada ya kuripoti kwa muda mrefu habari za mkoa wa Shinyanga kama utaratibu wa Malunde1 blog,Fahari ya Shinyanga tuliojiwekea wa kuhakikisha kila siku tunakuwa na habari za mkoa wa Shinyanga ,sasa mtandao huu utakuletea simulizi mbalimbali kutoka kanda ya ziwa Victoria inayojumuisha mikoa wa Shinyanga,Mwanza,Simiyu,Geita,Mara na Kagera .

Kupitia www.malunde1.blogspot.com utajifunza mambo mengi kuhusu eneo hili,tukuletea simulizi kuhusu mila na desturi za wakazi wa kanda hii(utamaduni),tutakufahamisha maajabu mbalimbali,historia za watu maarufu.

Vyote hivi utavipata kwa njia ya picha na sauti,utasikia wataalam wa historia wakisimulia vitu adimu vya kanda ya ziwa,utasikia wakieleza maana ya majina ya watu,majina ya mitaa,wilaya,mikoa na vitu vingine vingi ambavyo tunaimani utafurahiwa uwepo wa mtandao wa Malunde1 blog.

Historia nzima ya Kanda ya ziwa utaipata kupitia kwa wataalam wetu,Ukifungua blog hii hapo juu kuna maneno "UTAMADUNI LAKE ZONE" bonyeza hapo kila kujioenea mfululizo wa mambo adimu kutoka kanda ya ziwa unaojumuisha mkoa wa Shinyanga,Mwanza,Simiyu,Geita,Mara na Kagera

BONYEZA HAPA UJUE MAANA YA NENO WASUKUMA/MSUKUMA,NANI MSUKUMA NA KATOKA WAPI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527