Hatari Shinyanga_ HIVI NDIVYO POLISI WAMEJIPANGA KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI WA CHADEMA SHINYANGA

Hivi ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema imefungwa
Ofisi ya Chadema mkoa wa Shinyanga ikiwa imefungwa
 Askari wakiwa mtaani
 FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.


Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog Shinyanga

SOMA ZAIDI HAPA


BONYEZA HAYA MANENO TUKUTUMIE HABARI ZETU ZOTE MARA TU ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post