DIAMOND PLATNUMZ NOMA SANA_ AMPA WEMA SEPETU BONGE LA ZAWADI BIRTHDAY YAKE ,ANGALIA HAPA

 
Msanii wa muziki wa bongo fleva Nasibu Abdul 'Diamond' amemzawadia mpenzi wake Beutiful onyinye Wema Sepetu gari kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya Wema Sepetu na kuandika ujumbe huu....

Nilitamani nikupe vingi, wenda ingenisaidia kueleza ni kias gani napenda nikuone ukifurahi kwenye siku yako hii ya kuzaliwa...lakini tu, sina uwezo huo mumy... tafadhari pokea kidogo hichi nlichojaaliwa leo.... na siku zote tambua kwamba your Platnumz, love you so much...! Happy Birthday baby!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527