Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ANGALIA PICHA-KUTANA NA WACHEZA NGOMA MATATA KUTOKA KISHAPU MKOANI SHINYANGA

Kikundi cha ngoma maarufu kwa jina la Makhirikhiri kutoka wilayani Kishapu wakitoa burudani katika mkutano wa CCM jana katika kata ya Ngokolo mjini Shinyanga.Kundi hili la Makhirikhiri limejizulia umaarufu kutokana na staili zao za kucheza,hasa wakifananishwa na Makhirikhiri wa Botswana -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog
 Hili ni kundo jingine matata la ngoma kutoka wilayani Kishapu maarufu kwa jina "Majembe".Hawa wanacheza kwa kutumia majembe.Pia wamejipatia umaarufu sana maana wanaburudisha sana -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Kundi la Majembe likitoa burudani,pasipo na vumbi panatoka vumbi -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog
Kikundi cha Majembe kikitoa burudani mjini Shinyanga.Hilo vumbi ni la kazi,majembe yanafanya kazi -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog

Kundi la Majembe kutoka Kishapu wakifanya yao -Picha  na Kadama Malunde-Malunde1 blog


TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com