STAND UNITED YA SHINYANGA YAIPIGA 2-1 NYEGEZI TERMINAL YA MWANZA




Mchezo wa kirafiki baina ya Stand United ya Shinyanga na Nyegezi Terminal  ya Mwanza umemalizika  huku Stand utd  ikiipiga baso 2  Nyegezi terminal ambayo imeambulia bao 1 .

Mchezo huo umefanyika jioni ya leo  katika uwanja wa Mkolani jijini Mwanza

Kamana Salum , ameipatia bao la kwanza Stand utd,la  pili limefungwa na Kheri Mohamed  huku goli la kufutia machozi kwa upande wa Nyegezi terminal likifungwa na Yusuph Shabani kwa njia ya penati.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post