Bad News!! BINTI ABAKWA HADI KUFA BAADA YA KUDAI KUWA MIZENGO PINDA HAWEZI KUWA RAIS TANZANIA

Kati ya mambo makubwa leo katika mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter ni taarifa ambazo mimi pia nimezipokea kwa mshangao na masikitiko makubwa, ni taarifa kuhusu mauaji ya mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu.


Marehemu aliokotwa kwenye mtaro akiwa amefanyiwa vitendo vya kikatili na akiwa hajitambui

Wengi wadai mitandao ya kijamii (hasa Facebook, Twitter na Instagram) inatumiwa visivyo na walio wengi


BOFYA HAPA UJUE NYUMA YA PAZIA YA KIFO CHA BINTI HUYU
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais wa Tanzania.

HISIA ZA WANA MTANDAO WA FACEBOOK KUHUSU KIFO CHA BINTI HUYU


Nimepokea kwa mshangao na masikitiko makubwa taarifa kuhusu mauaji ya mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu.

Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais.

Nilimfahamu Betty kwa muda mfupi Twitter na Facebook na nilimpenda sana kwa busara zake na ucheshi wake. Sikumfahamu kwa undani wake lakini Betty alikuwa mmoja wa watu ambao ningependa kuwafahamu zaidi.

Betty mdogo wangu, hukuwa na kaka wala dada wa kumlilia. Lakini ungejua ungenililia mimi.

Sasa ni zamu yangu kulia. Nenda kwa amani mdogo wangu. Nenda kwa amani. Pumzika kwa amani. Hadi tutakapoonana tena.

Amina.




Unajua natamani moyo wangu niuweke hapa,haya maumivu nayohisi kuhusu huyu dada daah Mungu nisaidie,inamaana watu inatakiwa tuwe kimya tu kisa kuogopa kuuawa??khaa Mungu naomba ujidhirishe juu ya kifo cha dada huyu damu ya mwanao isipotee bure...amen

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++


Rest in Peace dear Bettie Ndejembi
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

Naona Trending Issue ni binti anayetajwa kwa jina la Bettie Ndejembi. Ambaye ninasoma huku na kule kuwa amefariki na kifo chake kikihusishwa na lugha za kuchafuana mitandaoni. Najaribu kuunga unga ninayosoma ila wala sipati kitu kamili........all in all, pole sana kwa familia ya mzee Ndejembi

Photo: Naona Trending Issue ni binti anayetajwa kwa jina la Bettie Ndejembi. Ambaye ninasoma huku na kule kuwa amefariki na kifo chake kikihusishwa na lugha za kuchafuana mitandaoni. Najaribu kuunga unga ninayosoma ila wala sipati kitu kamili........all in all, pole sana kwa familia ya mzee Ndejembi

BOFYA HAPA UJUE NYUMA YA PAZIA YA KIFO CHA BINTI HUYU
TAFADHALI BOFYA HAPA U LIKE PAGE YETU TUKUTUMIE "HABARI" MOJA KWA MOJA KILA ZINAPOTOKEA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527