Maajabu!! MREMBO AKUTWA KWENYE KABATI LA CHIPSI AKIWA AMELALA FOFOFO JUU YA CHIPS NA MISHIKAKI
Tuesday, July 08, 2014
Hili tukio waweza fikiri
ni uongo,hii ni kweli kabisa mrembo mmoja amekutwa amelala kwenye kabati la
chips maeneo ya Yombo Vituka jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Imeelezwa kuwa jana
usiku Muuza chips alipofunga kabati na
kufunga eneo lake la biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala.
Walioshuhudia
tukio hilo wanasema muuza chips alipofungua leo alimkuta mwanadada huyo ambaye
hakujulikana jina lake akiwa amelala fofofo juu ya chips na mishikaki akiwa
hajitambui
Hata hivyo bado haijajulikana aliingiaje kwenye kabati hilo la chips maana
hakuweza kuongea baada ya kutolewa katika kabati hilo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin