Breaking News_BINTI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA JABALI WAKATI AKICHIMBA KOKOTO WILAYANI KAHAMA



Habari kutoka Kahama mkoani Shinyanga zinasema kuwa binti  aliyefahamika kwa jina la Lucia Bahati (25)amefariki dunia,inasemekana alikuwa akichimba kokoto ambazo ni masalia ya kokoto zilizokuwa zikitengenezwa kwa ajili ya ujenzi wa Barabara za lami wilayani Kahama.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527