WASANII WA BONGO MOVIE WAPATA AJALI YA GARI WAKITOKEA DODOMA

Taarifa tulizozipata hivi punde: Wasanii Stevie Nyerere, Shamsa Ford (PICHANI) na Simple wamepata ajali maeneo ya jirani na Chalinze wakiwa njiani kwenda Dar wakitokea mjini Dodoma katika show kubwa iliyofanyika last weekend...! Taarifa za awali zinaarifu kuwa chanzo cha ajali hiyo ni kupasuka kwa matairi mawili ya gari hilo...Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa....!

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post