Vituko Leo!! CHEKA KWA PICHA HIZI ZA UTANI ZA LUIS SUAREZ KUFUATIA TABIA YAKE YA KUNG'ATA WACHEZAJI OVYO

article-2668058-1F1BEAB000000578-542_634x460
Muda mfupi baada ya Luis Suarez kumng'ata Giorgio Chiellini begani, mitandao kijamii haikuchelewa kuzamisha meno yake kwa mshambuliaji huyo wa Uruguay. Suarez,aliyewahi kupigwa marufuku mara mbili kwa kuuma, alidaiwa kumng'ata mchezaji huyo wa Italia katika mechi ambayo Uruguay ilishinda 1-0. Picha mbalimbali za utani zimetengenezwa kutania tukio hilo na hizi ni miongoni mwao.article-0-1F1773D500000578-817_634x375article-0-1F1773D900000578-156_634x392article-2668058-1F1BEAAB00000578-757_634x551article-2668058-1F1BEAC100000578-448_634x732article-2668058-1F1C31B400000578-403_634x475article-2668058-1F17BE1000000578-931_634x857

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post