TAMASHA LA MISS TALENT SHINYANGA LAFUNIKA SHINYANGA,ISHA MASHAUZI APIGA SHOW YA HATARI,MAMA KANUMBA AIBUKA,WAREMBO WENYE VIPAJI WAPATIKANA
Thursday, June 26, 2014
Ni ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga ambako usiku wa kuamkia leo kumefanyika tamasha kubwa la kumtafuta mrembo mwenye kipaji katika mkoa wa Shinyanga lililoandaliwa na Asela Promotions ambao wamekuwa wakiandaa mashindano ya Miss Shinyanga tangu mwaka 1995,mgeni rasmi alikuwa Vicent Msami msaidizi wa RTO mkoa wa Shinyanga huku mtumbuizaji mkuu akiwa Isha Mashauzi,Pichani ni Vijana kutoka mkoani Shinyanga(Wakali kwanza) wakifungua wakifanya yao jukwaani ikiwa ni burudani ya kwanza katika tamasha hilo kubwa-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Wadhamini katika tamasha hilo la kutafuta mrembo wa mkoa(Miss Talent Shinyanga 2014) lililoandaliwa na Asela promotions ni pamoja na Coca cola,tigo,lewis Entertainment,Saluti 5,Tanzania breweries,unique pub,Diamond fields hotel,Asela Decorations ,clouds media.....-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mc(mshereheshaji) Ice Joseph akifanya yake-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Wageni mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi wa Nssf mjini Shinyanga kushuhudia nani ataibuka kuwa mshindi katika shindano la kutafuta mrembo mwenye kipaji kati ya warembo 20 walioandaliwa na Asela Promotions-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Wadau wakifuatilia kwa umakini kilichokuwa kinajiri ukumbini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mwandaaji wa shindano la Miss talent Shinyanga 2014 na Miss Shinyanga 2014 bi Asela Magaka kutoka Asela promotions akiwawakaribisha wageni mbalimbali waliohudhuria tamasha la kusaka mrembo mwenye kipaji -Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mgeni rasmi Vicent Msami kutoka jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akiwasalimia wakazi wa mkoa wa Shinyanga na maeneo ya jirani waliohudhuria tamasha la Miss Talent Shinyanga 2014-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mgeni rasmi Vicent Msami kutoka jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga akizungumza ukumbini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Warembo 20 kutoka maeneo mbalimbali mkoani Shinyanga walioshiriki shindano la Miss talent Shinyanga 2014 ambao pia watashiriki shindano la kutafuta mrembo wa mkoa wa Shinyanga Juni 28,2014 mjini Kahama-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Warembo 20 wakicheza jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Juu ya jukwaa warembo wakifanya yao-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Wakazi wa shinyanga na maeneo ya jirani wakifuatilia yaliyokuwa yanajiri ukumbini-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mmoja kati ya washiriki 20 akionesha kipaji chake cha kucheza jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mrembo akicheza jukwani ikiwa ni kuonesha vipaji alivyonavyo tofauti na urembo alionao-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Tunaangalia burudani......-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mrembo mwingine akionesha kipaji chake cha kuimba jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mrembo huyu alipanda jukwaani na mpira kuonesha kipaji chake cha kucheza mpira-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mshiriki namba 6 akiwa juu ya jukwaa,mrembo huyu alicheza na nyoka(hayupo pichani)-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mshiriki namba 7 akisoma taarifa ya habari ya Televisheni kuonesha kipaji chake-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mshiriki namba 8 akionesha kipaji cha kuchezesha tumbo jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mrembo akiimba wimbo jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mshiriki namba 20 akiimba jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mrembo huyu aliamua kushuka jukwaani akiimba kwa hisia-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Kulia ni mama Steven Kanumba akiwasalimia wakazi wa Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Warembo wakiwa jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Isha Mashauzi akitoa burudani katika tamasha la Miss tarent Shinyanga 2014 ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Isha Mashauzi alifanya yake jukwaani-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Burudani inaendelea-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Wageni waalikwa wakifuatilia kilichokuwa kinajiri-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mzuka ulipanda wakazi wa shinyanga wakaanza kucheza ukumbini kutokana na burudani ya Isha Mashauzi-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Tunaangalia burudani kutoka kwa Isha Mashauzi-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Majaji wakiwa jukwaani kutangaza warembo watano bora wenye kipaji mkoa wa Shinyanga 2014 -Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Warembo wanne kati ya watano wenye vipaji mkoa wa Shinyanga 2014-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Warembo watano bora wenye vipaji Shinyanga mwaka 2014.Vipaji walivyonavyo warembo hao ambao ni washiriki namba 5,6,18,20 na 8 walioonesha vipaji vya 5-8-kuimba,kuchezesha tumbo,6-kucheza na nyoka,18 kucheza,20-kuimba. Mshindi wa kwanza katika kupata mrembo mwenye kipaji kati ya hao watano atatangazwa siku ya shindano la Miss Shinyanga 2014 mjini Kahama Juni28,2014 ambapo mzee Yusuph akiwa ameambatana na wasanii wengine kibao atapiga show -Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Waandishi wa habari wakifuatilia kilichokuwa kinajiri-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Ndani ya ukumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Mbele kulia ni mkurugenzi wa Malunde1 blog bwana kadama Malunde katika picha ya pamoja na Isha Mashauzi-Picha na Athanas Fabian(Dj hunter-radio Faraja)
Tamasha liliisha kwa Interview katika Red Carpet nje ya kumbi wa NSSF mjini Shinyanga-Picha na Kadama Malunde-Malunde1 blog- Shinyanga
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin