Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MASKINI TAZAMA WANANCHI HAWA WANAVYOTESEKA NA MTANDAO HUKO SIMIYU

Mkazi wa kijiji cha Ihushi wilaya ya Bariadi mkoa wa Simiyu  ambaye hakuweza kufahamika jina lake akiwa amesimama juu ya kichuguu akitafuta mawasiliano (Network) ili awasiliane na ndugu ,jamaa  zake.Wananchi wa kijiji hiki wanapata changamoto ya mawasiliano kutokana na mtandao kuwa wa shida pindi wanapohitaji kupiga.Mwenzake mwenye kofia anasubiri mwenzake amalize naye apande kwenye kichuguu hicho -picha na Suleiman Abeid -Malunde1 blog-Simiyu

Hapa ni ndani ya nyumba ya mwanakijiji mahali ambapo Network inapatikana,kwa hiyo ukitaka huduma ya mtandao inabidi uonane na wanafamilia wakuruhusu upige simu.Pichani ni simu ambayo imewekwa mahsusi kwa ajili ya huduma kwa wanaoihitaji tena inabidi uweke Loud speaker kwani simu haihamishiki- picha na Suleiman Abeid -Malunde1 blog-Simiyu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com