TAZAMA PICHA ZA MAHAFALI YA KWANZA CHUO CHA UALIMU RICH RICE CHA MKOANI GEITA

Wanafunzi wa chuo cha Ualimu Rich Rice wakiwa na viongozi wao wakati wa mahafali ya kwanza katika chuo hicho kilichopo katika kijiji cha Nyankumbu kata ya Kalangalala wilayani Geita mkoani Geita.Wa tatu kutoka kulia ni elimu sekondari halmashauri ya mji wa Geita bwana Christopher Ichele akifuatiwa na mkuu wa chuo hicho bwana Sindano Masanja wakati wa mahafali hayo jana

Wanafunzi takribani 108 wa chuo cha Rich Rice wa ngazi ya cheti wakiwa wamejipanga kuingia ukumbini kwa ajili mahafali ya Kwanza katika chuo hicho walioanza masomo yao mwaka 2012

Picha zote na Valence Robert-Geita

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post