SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA FIRST GODFREY FT KALA JEREMIAH- Unaitwa "SUPRISE"

Hii ni ngoma ya kwanza ya First Godfrey baada ya kumaliza Shindano la EBSS Bongo Star Search 2013.Ngoma hii inaitwa Suprise,waimbaji ni First Godfrey ft Kalla Jeremiah,producer ni C91 imerekodiwa na studio ya Spirity mwezi huu,mwaka 2014 na imetoka rasmi leo  mtandaoni na kwenye vituo mbalimbali vya matangazo/habari.

 "Nimeamua kufanya nyimbo hii na Kalla Jeremiah kwa sababu 1-, mtu ambae ananivutia frow yake,2- anaelewa anafanya nini kwenye game hii ya sasa, 3-wote ni washiriki wa (EBSS) Bongo Star Search mpaka sasa hakuna washiriki waliokaa na kufanya nyimbo moja kwa pamoja",amesema 


  Wasiliana naye whatsAp +255768 943 797
simu-     +255716 982 612
SIKILIZA HAPA CHINI WIMBO HUU

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post