PICHA-SHINYANGA LEO,TAZAMA ZAO HILI LA BIASHARA WILAYANI KISHAPU

Katika pita pita zake malunde1 blog imebahatika kuona alizeti hii ikiwa katika shamba la mmoja wa wakazi wa mji wa Mhunze wilayani Kishapu katika mkoa wa Shinyanga.Wakulima wa zao hilo wanasema mbegu hiyo ya alizeti inaitwa Reception (pichani) ,shina moja linakuwa na matawi hadi zaidi ya kumi.Ni nzuri  kama unahitaji mapinduzi katika kilimo cha  zao hilo kazi ni kwako kuisaka katika maduka ya pembejeo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post