Mashindano Mengine bwana!!! SHINDANO LA KUMSAKA MWANAUME MWENYE UUME MDOGO KUFANYIKA MWEZI JUNI,TAZAMA PICHA HAPA

Mataifa ya wenzetu kuna mambo wanayafanya ambayo yanaweza kukuacha mdomo wazi siku mzima, kama hili la shindano la kumsaka mtu mwenye uume mdogo.


Ni shindano linalotarajiwa kufanyika kwa mara ya pili Juni 14 mwaka huu litakalofanyika huko Brooklyn's Kings County Bar(New York) ambako mshindi atazawadiwa kitita cha pesa na kutunukiwa heshima. Kwa mara ya kwanza lilifanyika mwaka jana.
Pia hawa jamaa wanamsaka mwanadada Miley Cyrus ili awe mmoja wa waudhuliaji. Patakuaje sijui hapo!!!?

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post