MAFURIKO NOMA SANA,TAZAMA PICHA ZAIDI YA 20 DAR ILIVYOATHIRIWA NA MAFURIKO


Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu
Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....

 Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano mkubwa wa mago kuanzia jana jioni na leo.
 Barabara ya kuelekea Goba....
 Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
 Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...
 Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.
 Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....
 Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....
 Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....
 Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.
 Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati
 Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....
 Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...
 Mwenge eneo la Nakiete......
 Maji yakikatiza barabara eneo la ITV.....

 Mitungi ya Gesi ikielea kwenye maji.
Njia panda ya Kwa Mwalimu Nyerere.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post