Ni Balaaa!!! CCM WAFUNGA KAZI KALENGA,TAZAMA PICHA

Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la  Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa  mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi.Picha na Bashir Nkoromo

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post