Maajabu ya Dunia!!! JAMAA ABADILIKA NA KUWA ALBINO HUKO TABORA

 Hafidh Masokola Damson ambaye kwa sasa anaishi Tabora mjini eneo la National Housing amebadilika maeneo yote ya viungo vya mwili wake isipokuwa meno pekee na kuwa albino hata kufikia hatua ya kujiunga na chama cha Maalbino Tanzania tawi la Tabora.
Bw.Hafidh Masokola Damson ambaye alibadilika na kuwa Albino kutokana na matumizi ya dawa za Malaria baada ya kuzitumia mnamo mwaka 2010,Kwa maelezo yake mara baada ya kunywa dawa aina ya Metakelfin alianza kubabuka ngozi ya mwili wake huku magamba yakitoka mithiri ya nyoka katika mwili wake. 


Hafidh Masokola kabla ya kubadilika kuwa mlemavu wa ngozi Albino.
Kwa uthibitisho wa habari hii waweza kumpigia kwa simu ya kiganjani 0767 298 348 au 0658 298 348.
Credit-Kapipij blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post