Breaking News!! MADEREVA WA DALADALA WAGOMA HUKO MOROGORO ASUBUHI HII


Pichani ni baadhi ya wakazi wa Morogoro ambao leo asubuhi walilazimika kutumia usafiri wa vyombo visivyo rasmi kusafirisha abiria, ili kuwahi makazini

 
Habari kutoka Morogoro zinasema kuwa wamiliki wa daladala  katika Manispaa ya Morogoro wamesitisha kutoa huduma ya usafirishaji abiria ndani na Manispaa kwa kile kinachodaiwa kutozwa faini kubwa na askari wa usalama barabarani pindi magari hayo yanapokamatwa kwa makosa mbalimbali ambapo kwa wiki hudai hukamatwa mara mbili mpaka tatu huku kiwango cha faini hiyo kikitajwa kuwa ni kati ya sh30,000 hadi sh120,000 ikiwa kosa moja ni sh30,000.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post