Majanga!! KIJANA AJILAZA RELINI NA KUSAGWA NA TRENI YA MIZIGO,RAIA WASEMA BORA ANGEWEKA KICHWA ILI AFE HARAKA

Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, kumetokea tukio la kutisha huko Sobral,Caera-Brazil baada ya kijana mmoja kuchukua maamuzi magumu juu ya maisha yake kwa kuamua kujitega kwenye njia ya treni na kupoteza maisha papo hapo.

Kijana huyo ambaye jina  na  chanzo cha yeye kujiuwa hakijafahamika mpaka sasa aliamua kujilaza katika reli na kupitiwa na treni ya mzigo katika mgongo wake na kumsababishia kupoteza maisha yake.

Police katika jimbo la Caera wanaendelea na uchunguzi wa tukio hili na utambuzi wa ndugu wa marehemu.

Katika tukio hili mashuhuda mbalimbali walisikika wakisema.... "Kama kijana huyu alifikia uamuzi huu na bora angeweka kichwa ili afe na kumpunguzia maumivu kwani kuweka kwake tumbo kunamchelewesha na  hata kabla ya kufa angeweza kujutia kutoka na maumivu hayo"

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post