Duniani watu wameumbwa tofauti tofauti kabisa .. sio kwamba mwenyezi mungu amekosea la asha! ana makusudi yake kabisaaa na kama wote tungeumbwa tunafanana pata picha ingekuwaje? jibu ni moja tu kusingekuwa na maisha.... katika binadamu aliyeshangaza wengi ni huyu ambaye ulimi wake ni mrefu kuliko binadamu wa kawaida... naomba uchukue muda wako mdogo tu kumtizama akifanya yake hapa chini