Hii balaa kweli kweli!!! WANANCHI WAWAOGESHA HADHARANI MAKONDAKTA WASIOOGA,WADAI WANANUKA NA KUATHIRI BIASHARA


konda
Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. 
 
Makonda hao wawili walilazimishwa kuoga hadharani kwa   kile kinachaodaiwa   kuwa  walikuwa  wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara.

 Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni suala la lazima

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post