Haya sasa!!! MWIGIZAJI SHOGA AFARIKI DUNIA AKIFANYA MAPENZI


Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja jijini Lagos nchini Nigeria.

Charles Warren alifariki ghafla wakati akiifanya mapenzi (akimegwa) na mwenzake aliyetajwa kwa jina la Ajah ambapo ghafla alianza kulalamika maumivu ya kiuno na baadaye maumivu hayo yakahamia mgongoni ambapo baadaye alipata haja kubwa mara nne ndani ya muda wa dakika 30.

Baadaye maumivu hayo yalihamia kifuani ambapo ilibidi awahishwe katika hospitali ya Safeway kwa matibabu zaidi. 

Rafiki yake aitwaye Ajah ambaye ndiye waliyekuwa wakifanya naye mapenzi alijaribu bila mafanikio kumfanyia masaji kifuani ili kumpunguzia maumivu lakini haikusaidia, Warren alifariki dunia usiku huo huo.

RIP Charles Warren.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post