|
Hii ndiyo njia iliyotumika kumbeba mlevi huyu |
|
Ukisikia pombe ni noumaaaa basi huu ndiyo mfano halisi huu ,jamaa amekunywa pombe kupita kiasi hadi kasahau njia ya kwenda kwake .Kalewaaa mpaka netiweki kichwani mwake ikawa haisomi kasahau njia ya kwenda kwake ,mbele haoni anaanguka mpaka kutembea anashindwa mwisho kabebwa kwa style hii kurudishwa kwake.,nomasana kunyweni kwa kiwango kinachotakiwa!!!!! Kunywa kwa kiasi ili uweze kujimudu kwa style hii wahuni hawachelewi kukufanyia vitu vya aibu!!!!! |
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553