Kila kukicha mambo yanabadilika katika dunia yetu Wanaume mnapaswa kuwa,makini na Bikra feki...Wanawake wana mbinu nyingi sana za kukuingiza
kingi,ndoa imekuwa mtihani kwao,wanafanya kila balaa ili wakuchote akili
uingie kingi.Ukiacha hawa wengne ambao wameamua kuwa Washirikina kwa
kwenda kwa Waganga na kupewa dawa za kukukamata,kuna hawa wanawake ambao
wametumika kama Bajaj za Salasala,wakikuona umekaa dizaini ya muoaji
halafu una hela,utapigwa tukio mpaka ushangae.Atajifanya descent na
hajui kitu,atasingizia yeye bikira au amefanya mara moja tu...OGOPA
SANA!
Siku
ya kufanya Mapenzi kila ukimshika anapiga kelele za kuzuga
anaumia,ukishika nywele analia...ukimgusa kifua anapiga yowe kama
anakeketwa,ukianza kuzama ndo
kabisa,unaweza kudhani uko kwenye Msiba wa Kinyakyusa....utasikia
taratibu,utafinywa,utapushiwa kama vile ndo unaitoa,kumbe wala...
Mtu
mzima unachotwa akili kumbe mwenzio kabla hajaja amekamulia
Ndimu,mchanganyiko wa parachichi na tikiti maji,Sabuni ya Kaisiki na Vim
ya kuondolea harufu chooni...Ukigusa unahisi bikira kumbe
wala,umetegwa...Hawaruhusu uingize kidole kwenye maandalizi hata kwa
dawa utagundua...dawa yao unakaa na beseni,akizuga unamwagia maji pale
juu,litatoka vumbi hujawahi kuona hata kwenye stoo yenu ya kuku wa
mayai...BEWARE na hizi bikira za makuti!
Chanzo-
luckyjurnior.blogspot.com
luckyjurnior.blogspot.com
Post a Comment