ZIARA YA KINANA YAFUNIKA SHINYANGA VIJIJINI

Kata ya Didia Katibu mkuu wa CCM taifa Abdulrahman Kinana akiwa amebeba nyoka wakati ngoma ya kisukuma ikichezwa ikiwa ni wakati wa ziara yake hapo jana katika wilaya ya Shinyanga vijijini

Hapa anashriki katika ujenzi  birika la maji ya kunyweshea mifugo katika kata hiyo ya DIDIA,Katikati ni Katibu wa siasa,itikadi na uenezi CCM taifa Nape Nnauye kushoto ni mbunge wa jimbo la solwa Ahmed Ally Salum

 wakazi wa Didia katika eneo la mradi wa soko
Viongozi wakiwasili eneo la mkutano wa hadhara katika kijiji cha Songambele kata ya Salawe jimbo la solwa

 wananchi wakifuatilia hotuba ya KINANA
FISI...ikiwa ni sehemu ya burudani katika eneo la mkutano

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post