| waandishi wa habari wakiwa wamebeba jeneza alimohifadhiwa marehemu Charles Hilila |
| Jeneza lililohifadhi mwili wa marehemu |
| picha ya marehemu enzi za uhai wake |
| Watumishi wa mungu wakiwa katika eneo la msiba nyumbani kwao na marehemu kitongoji cha Dulumida kijiji cha Tinde tafara ya Itwangi wilaya ya shinyanga vijijini |
| viongozi mbali mbali wa dini,siasa na serikali wakifuatilia misa ya mazishi eneo la msiba Tinde |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja akifuatilia misa ya mazishi eneo la msiba |
| mwakilishi wa channel ten alitoa neno eneo la msiba |
| mwakilishi wa Radio Faraja Anikazi kumbemba ambaye aliwahi kufanya kazi na marehemu Charles Hilila |
| Naibu Meya manispaa ya shinyanga David Nkulila alitoa neno eneo la msiba |
| Mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai mkoa wa shinyanga Hussein Kashindye akiongelea mazuri ya marehemu Charles Hilila |
| watu mbalimbali wakitoa heshima zao za mwisho kwa marehemu |
| Kaburi la marehemu kabla hajazikwa |
| waandishi wa habari wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la mpendwa wao |
| Mkuu wa mkoa wa shinyanga akiweka shada la maua. picha zote na Kadama Malunde |
Social Plugin