RIPOTI MBILI ZA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI

RIPOTI MBILI ZA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI DAUDI MWANGOSI ZIMETOLEWA 1.NI ILE YA SERIKALI ILIYONDWA NA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AMBAYO INASEMA KUWA HAKUNA USHAHIDI KUWA POLISI WALIHUSIKA NA KIFO CHA MWANGOSI 2.NI ILE YA JUKWAA LA WAHARIRI NA BARAZA LA HABARI AMBAYO YENYEWE INASEMA UCHUNGUZI ULIOFANYIKA PAMOJA NA USHAIDI WA PICHA ZA VIDEO NA MNATO NA WANANCHI NA MASHUHUDA IMEJIRIDHISHA KUWA JESHI LA POLISI CHINI YA USIMAMIZI WA KAMANDA WA POLISI LILITEKELEZA MAUAJI YA MWANGOSI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post