Rais
Jakaya Kikwete akimkabidhi cheti na kikombe Mkurugenzi wa Manispaa ya
Temeke Ms Margareth Nyalile ambaye Manispaa yake ilishinda nafasi ya
kwanza katika kufanikisha mbio za mwenge mwaka huu.
Rais
Jakaya Kikwete akipokea mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za mwenge wa
mwaka 2012 Captain Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuzima mwenge
zilizofanyika katika uwanja wa CCM Kambarage mjini Shinyanga tarehe
14.10.2012. wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment