Ajali mbaya Katavi Yauwa Watu Wawili na 16 Majeruhi

Ajali mbaya katavi yauwa watu wawili na 16 Majeruhi, imetokea mlima wa kanoge katika makazi ya wakimbizi ya Katumba Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi .

 MMOJA WA MAJERUHI AKIWA AMEUMIA VIBAYA MGUUNI
 MMOJA WA MAJERUHI AKIPATA MATIBABU
 Wauguzi wakiwahudumia majeruhi hao mara baada ya kufikishwa hospitalini

Picha na Walter Mguluchuma

 MMOJA WA MAJERUHI AKIWA MAPUMZIKONI KUNGOJA HUDUMA 

Baadhi ya majeruhi waliolazwa katika hospitali ya wilaya  Mpanda baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupinduka katika mlima wa kanoge katika makazi ya wakimbizi ya Katumba Wilayani Mlele Mkoa wa Katavi ambapo watu 2 wamekufa hapo hapo na 16 wamejeruhiwa vibaya, ajali ambayo ilihuhusisha gari lenye namba za usajili J4 TZ 78378 mali ya Mashaka Gewe. 


source. kataviyetu.blogspot.com

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments