HOPE SCHOOL tunakukaribisha kujiunga nasi, ambapo tunatoa elimu bora inayolenga kukuza vipaji, maarifa na uwezo wa watoto katika mazingira rafiki na salama.
🌟 KWANINI UCHAGUE HOPE SCHOOL?
✅ Malezi bora na elimu yenye ubora.
✅ Kuanzia Elimu ya Awali, Msingi hadi Sekondari.
✅ Walimu wenye ujuzi, uzoefu na upendo kwa wanafunzi.
✅ Mazingira rafiki, safi na salama kwa kujifunzia.
✅ Huduma za bweni na kutwa (Day & Boarding).
✅ Shughuli za maendeleo na kukuza vipaji vya wanafunzi.
✅ Matokeo bora ya kitaaluma.
📚 TUNAMJENGA MTOTO KITAALUMA, KINIDHAMU NA KIMAADILI!
📍 MAHALI: Lubaga – Shinyanga.
📞 WASILIANA NASI KWA USAJILI NA MAELEZO ZAIDI:
☎️ +255 754 291 887
☎️ +255 625 820 984
☎️ +255 762 571 487
☎️ +255 677 669 038
HOPE SCHOOL – ELIMU BORA, MAISHA BORA!

TAFUTA HABARI
Social Plugin