Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NDOTO YAKO YA ELIMU NA AJIRA INAANZIA HAPA – ST. JOSEPH'S COLLEGE SHINYANGA

 


ST. JOSEPH'S COLLEGE – SHINYANGA CAMPUS. CHUO KILICHOSAJILIWA KIKAMILIFU NA NACTVET

Je, unatafuta elimu bora itakayokupa ujuzi na kukuandaa kwa soko la ajira? St. Joseph's College Shinyanga Campus inakukaribisha kujiunga na masomo ya Certificate na Diploma katika kozi mbalimbali zenye mahitaji makubwa katika dunia ya kazi.

KOZI ZINAZOTOLEWA:

✓ Procurement and Supply (Ugavi na Ununuzi)

✓ Business Administration (Usimamizi wa Biashara)

✓ Human Resources Management (Usimamizi wa Rasilimali Watu)

✓ Community Development (Maendeleo ya Jamii)

✓ ICT – Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

✓ Records Management (Utunzaji wa Kumbukumbu na Nyaraka)

✓ Accountancy (Uhasibu)

✓ Full Secretarial (Usekretarieti na Mapokezi)

✓ Nursery Teaching and Day Care (Ualimu na Malezi ya Watoto)

✓ Journalism (Uandishi wa Habari)

SIFA ZETU:

✔ Elimu bora yenye viwango vya kitaifa

✔ Wahadhiri wenye uzoefu

✔ Ada nafuu na inayolipwa kidogo kidogo kwa awamu

✔ Mazingira rafiki ya kujifunzia

✔ Ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira

MAHALI CHUO KILIPO:

Jengo la CCM Mkoa, Ghorofa ya 3 na 4, mkabala na Benki ya CRDB, Shinyanga Mjini.

WASILIANA NASI:

☎ 0717 583 713

☎ 0788 815 842

☎ 0769 982 572

🌐 

www.stjcs.ac.tz

📧 mchomoka@gmail.com

ST. JOSEPH'S COLLEGE SHINYANGA CAMPUS


"Knowledge is Power"


JIUNGE SASA NA UANZE SAFARI YA MAFANIKIO YAKO YA KITAALUMA NA KIKAZI.


NYOTE MNAKARIBISHWA.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com