Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DAKTARI BINGWA ALIYEKUWA AKIKATALIWA NDOA HADI KUITWA MCHAWI, SASA KAJIPATA!


Naitwa Amos, ni mwanamume mwenye taaluma yangu ya udaktari na nimefanikiwa sana kimaisha. Nina nyumba yangu, nina gari na kila kitu kinachoashiria maisha bora. Lakini pamoja na mafanikio hayo, nilikuwa na siri moja ya aibu ambayo ilikuwa inanimaliza nguvu; nilikuwa siwezi kudumu na mwanamke.

Kila nikianzisha mahusiano na mwanamke, hata kama ni mcha Mungu kiasi gani, tukifikia hatua ya kuzungumzia ndoa, mambo yanaharibika ghafla.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com