
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ikiendelea na mahojiano na wakazi wa Dar es Salaam kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi huo katika ukumbi wa Karimjee jijini jana. Kulia ni Pericy Mabada aliyefiwa na ndugu akitoa maelezo kwa wajumbe wa tume hiyo wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Balozi Ombeni Sefue (wa nne kulia), IJP mstaafu, Said Mwema (wa tatu kulia), Dk Stargomena Tax na Balozi Paul Mella. (Picha na Robert Okanda).
Social Plugin