Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

NILIANZA MWAKA MPYA BILA AKIBA SULUHISHO LILILONIPA TUMAINI KABLA YA WIKI YA KWANZA KUISHA


Mwaka mpya ulipofika, nilihisi nimebakia sifuri. Likizo ya sikukuu ilinimaliza kifedha, nilipoteza akiba yangu yote na hata hakukuwa na zile shilingi za dharura.

Nilikaa nikitazama kalenda, nikijua kuwa wiki ya kwanza ya Januari ilikuwa muhimu malipo ya shule, madeni madogo, na gharama za nyumbani vilikuwa vinanitegemea. Nilihisi kama mwaka mpya ungeanza kwa msongo wa mawazo na huzuni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com