Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

🎒🩺 BACK TO SCHOOL 2026 WITH DR. TIZEBA: UCHUNGUZI WA AFYA WA KIBINGWA KWA WANAFUNZI




 

🎒🩺 BACK TO SCHOOL 2026: MTOTO AKIENDE SHULENI AKIWA NA AFYA KAMILI!

Back to School Health Campaign with Dr. TIZEBA

Mtoto aanze muhula mpya wa masomo akiwa na afya njema, nguvu na umakini darasani.

Luckmed Polyclinic iliyopo Bugayambelele  - Kizumbi Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Dr. Tizeba wanakuletea kampeni maalum ya uchunguzi wa afya wa kibingwa kwa watoto wanaorejea shuleni, ikijumuisha ujazaji wa Medical Form kwa mahitaji ya shule.

👨‍⚕️🧒 Mlete mtoto wako apate huduma kamili ya afya kabla ya kurejea shuleni.

🔍 Huduma Zitakazotolewa:

✅ Uchunguzi wa jumla wa mwili mzima
✅ Ukaguzi wa macho na masikio
✅ Uchunguzi wa meno
✅ Tathmini ya lishe
✅ Tathmini ya ukuaji na maendeleo ya akili
✅ Uhakiki wa chanjo

🎯 Inafaa kwa watoto wa umri wa miaka 3 hadi 18

 ▫️03–17/01/2026 Ratiba ya Kampeni:

🗓️ Kuanzia: 03/01/2026
🗓️ Hadi: 17/01/2026

📍 Mahali:

Luckmed Polyclinic – Bugayambelele - Kizumbi Manispaa ya Shinyanga

⏰ Saa za Huduma:

Saa 2:00 asubuhi hadi saa 12:00 jioni

📞 Mawasiliano:

📱 0753 829 014
📱 0620 109 248
📱 0767 211 531

🌟 Afya Bora ni Msingi wa Mafanikio Shuleni!
Usisubiri hadi mtoto apate changamoto shuleni — chukua hatua mapema.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com