Je, unafanya au unapanga kufanya biashara kati ya Afrika Kusini na Tanzania?
👉 Hii ni fursa yako!
📦 Mkombe Clearing & Forwarding Logistics tunahudumia kila aina ya mizigo:
🔹 Mizigo ya kawaida (General Cargo)
🔹 Mitambo na mashine za viwandani
🔹 Vifaa vya ujenzi
🔹 Mitambo ya migodini
🔹 Mazao ya kilimo
🔹 Mizigo ya thamani kubwa
🚛 Tunahakikisha mizigo yako inasafirishwa kwa usalama, ufanisi na utaalamu wa mipaka ya kimataifa.
🌍 Tunaunganisha Afrika Kusini na Tanzania,
na pia tunahudumia nchi zifuatazo:
🇰🇪 Kenya | 🇷🇼 Rwanda | 🇧🇮 Burundi | 🇺🇬 Uganda | 🇨🇩 Congo | 🇿🇲 Zambia | 🇿🇼 Zimbabwe
na nchi zote za SADC.
✅ Wa kuaminika
✅ Wenye ufanisi
✅ Wataalamu wa masuala ya mipakani
📞 Wasiliana nasi sasa – tusogeze biashara yako kimataifa!
Hotline:
📲 +27 604 749 717 (WhatsApp)
☎️ +27 11 392 5650
🏢 Mkombe Trading & Logistics Company
7 Taljaard Road,
Bartlett, Boksburg,
Johannesburg, South Africa
🔑 Mkombe Clearing & Forwarding Logistics – Tunabeba Biashara Yako Kuvuka Mipaka.








Social Plugin