Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

HAYA HAPA MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI , DARASA LA NNE 2025


Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Kidato cha Pili (Form Two National Assessment – FTNA 2025) pamoja na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne (Standard Four National Assessment – SFNA 2025).

Matokeo hayo yametangazwa Januari 10, 2026, na Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com