Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KIGOGO AFUMANIWA KINONDONI NA MKE WA RAFIKI YAKE USIKU

 

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mtumishi mmoja anayefanya kazi na Kampuni ya mawasiliano mkoani Dar es Salaam, aliyefahamika kwa jina la Simon.


Simon Kirimbo amenusurika kifo baada ya kutembezewa kipigo alipodaiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa rafiki yake nyuma ya bafu muda saa 2:30 usiku.

Akizungumza na baadhi ya mashuhuda, Mwenyekiti wa mtaa alisema tukio hilo lilitokea 01 Desemba  na kusababisha tafrani mtaani hapo.

Alisema mtumishi huyo alikwenda nyumbani kwa Paul Majaliwa Kitongoji cha Ndugumbi magharibi na kumchukua mke wa Paul Majaliwa kisha kumzungusha nyuma ya bafu la Paul na kudaiwa kufanya naye mapenzi.

Alisema wakati wakiwa katika harakati hizo na mke wa rafiki yake ndipo Paul alifika nyumbani kwake alipoingia ndani ya nyumba yake alikuta taa zinawaka pasipo kumuona mke wake.

“Aliamua kwenda chooni kujisaidia ambapo kabla hajafungua mlango wa chooni alisikia sauti nyuma ya bafu lake na alipozunguka aliwakuta mke wake na huyo  wakiwa uchi wa nyama wakifanya mapenzi.

“Simon Kirimbo alimpiga ngumi rafiki yake Paul ambaye ndiye mwenye mke na kuanguka chini lakini Paul aliinuka kisha kumtembezea kipigo Kirimbo hadi naye kuanguka chini kisha akamwamuru apige kelele huku akiwa amewadhibiti wote pamoja na mke wake,” alisema.

Alisema baada ya kelele wananchi zaidi ya 200 walifika katika eneo hilo na kukuta watu hao wakiwa uchi ambapo baadhi ya wazee waliomba wavae nguo lakini kundi la vijana liliruhusu mwanamke ndio avae nguo.

Hata hivyo, kundi hilo lilisema kijana huyo achomwe moto ambapo baadhi ya wazee waliomba watuhumiwa wote wawili wapelekwe ofisi ya kijiji hicho.

Alisema baada ya kufika ofisini kundi la vijana lilimtaka Kirimbo alipe Sh.800,000 za faini na hivyo kulazimika kuweka dhamana ya pikipiki yake anayotumia na kuazimwa fedha na mtu mmoja kwa makubaliano ya kurudisha sh.1,000,000.

Alisema mtuhumiwa huyo alidhaminiwa usiku huo na asubuhi yake alirudi ofisini na kulipa Sh. 800,000 kwa mwenye mke kisha kuruhusu kuendelea na majukumu yake ya kazi.

Paul alikiri kumkamata ugoni rafiki yake Kirimbo na kuthibitisha kuwa tayari amelipwa shs.800,000 na kuwa jumla ya Sh milioni ambayo imetolewa na mtuhumiwa huyo.

Kwa upande wake mtuhumiwa  alipoulizwa juu ya tuhuma hiyo alikiri kukamatwa ugoni na rafiki yake na kudai kuwa eti shetani ndio alimwingiza kwenye majaribuni.

Alisema tayari amelipa Sh milioni moja na kuahidi kutorudia tena tabia hiyo.

Aidha, baadhi ya wananchi Hussein Shabani, Kevin Nchimbi na Asha walisema kwa nyakati tofauti kuwa mtumishi huyo amekuwa na tabia hiyo kwa muda mrefu jambo ambalo wamedai hawako tayari kutoa ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yake na kuziomba mamlaka husika kumuondoa katika kata hiyo.

Mtendaji wa Kijiji, Omary Mshindo alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kutoa onyo kwa watumishi na wasio watumishi wenye tabia hiyo kuacha mara moja na badala yake waheshimu ndoa zao na za wenzao ili kuepusha mauaji yasiyokuwa ya lazima.

Inasemekana kuwa kwa muda mrefu,Paul alihisi mke wake anachepuka na mtu lakini alishindwa kumnasa katikati ya tukio hadi alipo tafuta msaada wa mganga nguli wa Tiba ya jadi, Doctor Nassoro mkazi wa Sumbawanga. Huyo Mzee Nassoro ndio alimpa maelekezo yote mpaka alivyo weza kumnasa huyo rafiki yake msaliti.

Kwa mashauriano piga simu:[Simu/Whatsapp]
  +255766649862
  +255766649862

Shukrani  za dhati kwa Doctor Nassoro. Paul aliweza kujua ukweli juu ya mwanamke huyo na rafiki yake nyoka. Baada ya kulipwa faini,alimpa mkewe Talaka na kuhama mtaa kuanza maisha mapya yenye furaha na raha. Kazi nzuri kutoka kwa Doctor Nassoro.

Daktari huyo bingwa pia ni mbobevu wa kutatua matatizo mbalimbali ya maisha kuanzia matatizo ya maisha ya familia kama vile vurugu za nyumbani, wivu miongoni mwa jamaa, kufukuza pepo na mengine mengi. Pia anaweza kusaidia katika kupandishwa vyeo kazini, Bahati nzuri katika biashara, pesa na ndoa njema. Piga simu kutoka popote ulipo. Kama ukweli unapitia wakati mgumu,usi site kuwasaliana nae.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com