Taasisi ya Vyombo vya habari Kusini Mwa Afrika,Tawi la Tanzania (MISA TAN) inampongeza Mwanachama wake Kadama Malunde kwa kuibuka mshindi wa Tuzo ya MDAU Awards Shinyanga 2025 katika category ya Best Blogger, Shinyanga.
Tuzo hiyo ni kielelezo cha umahiri wake kwenye eneo aliloshinda, ushindi wake ni furaha ya Wanamisa wote.
MISA Tanzania tunawashukuru wanachama na waandishi wote mliompigia kura na kumwezesha Mwanachama wetu kushinda.
AHSANTENI wote
Hongera sana Kadama Malunde!
Edwin Soko
Mwenyekiti MISA








Social Plugin