Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KILA NILIPOOMBA KAZI WALINITAKA KIMWILI MPAKA NILIPOFANYA TAMBIKO LA KUVUNJA MINYONYORO YA AIBU


Nilipomaliza chuo kikuu, nilikuwa na matumaini makubwa ya kupata ajira haraka. Nilijiona mwerevu, mwenye bidii, na niliamini kwa dhati kuwa nafasi yangu ya kung’aa ilikuwa imewadia. Nilituma maombi ya kazi kila mahali, nikahudhuria usahili kadhaa, lakini matokeo yake yalikuwa ya kushangaza na ya kusikitisha.

Kila mara nilipoitwa kwenye usaili, badala ya kuulizwa kuhusu uwezo wangu kazini, maswali yaligeuka kuwa ya binafsi kupita kiasi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com