Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

DK. YONAZI: USHIRIKI WA TANZANIA JUKWAA LA DUNIA WAONGEZA FURSA ZA KIMATAIFA USIMAMIZI MAAFA



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi akifuatilia mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Tathmini na Ufuatiliaji Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Bw. Charles Msangi


Baadhi wa Wajumbe wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025 wakifuatilia mkutano huo.


Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge na Uratibu) Bi. Stella Mwaiswaga(katikati mwenye miwani) akifuatilia mada wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Nane la Dunia la Kupunguza Madhara ya Maafa unaoendelea Mjini Geneva Uswisi kuanzia tarehe 02 hadi 6 Juni 2025.



Naibu Mwakilishi Mkazi wa Uswisi katika Umoja wa Mataifa na Masuala mengine ya Uendeshaji Geneva Balozi Julien Thoni akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com