
Mwanamke mmoja aliwashangaza wenyeji wa eneo lake kwa kutoweka kwa kupaa angani kwa kutumia nguvu za maajabu baada ya wanakijiji kukusanyika kumshambulia wakimtuhumu kuwa ni mganga.
Inaelezwa mwanamke huyo aliyetambulika kwa jina la Glory Sem alikuwa akiishi katika kibanda kilichojitenga karibu na msitu ambapo alikuwa akifanya shughuli zake za uganga na uaguzi kwa kutumia mitishamba.
Social Plugin