Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

AACHIWA HURU BAADA YA KUFUNGWA MIAKA 15 KWA UONGO


David alikuwa na biashara iliyofanikiwa pamoa na mke mwenye upendo, lakini maisha yake yalibadilika aliposhtakiwa kwa tuhuma za kumbaka msichana wa miaka 13 kisha kutupwa jela.

Alihukumiwa kifungo cha miaka 15 gerezani ambapo alipatwa na mambo ya kutisha yasiyofikirika lakini hakukata tamaa, kwa sababu alijua kwamba hakuwa na hatia kuhusu tuhuma hizo.

Msichana aliyemshtaki alikuwa mmoja wa watoto 10 aliokuwa akiwafadhili kimasomo, Mama yake, Leah alikuwa mpenzi wake wa zamani ambaye aliachana naye miaka ya nyuma alipokuwa akihangaika kutafuta fedha.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com